Wednesday, May 15, 2013

KEFA PRODUCTION INAKURETEA STUDIO YA KISASA YENYE MAMBO MENGI


Kefa Production ni STUDIO mpya kabsa inayojishughulisha na uzalishaji wa music na kuinua vipaji vya wasanii wote wa masuala ya music hivi karibuni kama mungu akipenda itaanza kazi zake hiv punde tu baada ya marekebisho madogomadogo kukamilishwa kwa wasanii wakwanza kurecord katika studio hii ya KEFA PRODUCTION watapata ofa ofa bab! kubwa..............
Nyote mnakaribishwa haibagui uwe muimba wamjini wanasema BONGO FREVA!! utakutanana na producer matata ajulikanae kama DAY DREAM atakutendea haki uwe sijui GOSPEL, BOLINGO, RnB, wapenzi wa HIPHOP a.k.a NYEUSI ni hatari hapa KEFA PRODUCTION, AFRO_POP na nyingine nyingi staili unazotaka utatimziwa kutokana na matakwa yako.............

KAZI KWAKOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO